Natoa huduma ya kufatilia usajili wa aina yoyote BRELA

Same Day
Full Warranty

Natoa huduma ya kufuatilia na kushughulikia masuala yote yanayohusiana na BRELA kwa haraka, urahisi, na kwa usahihi. Huduma yangu inahusisha usajili wa kampuni, usajili wa majina ya biashara, usajili wa ubia (partnership), mabadiliko ya taarifa za biashara au kampuni, na kujaza taarifa za mwaka (annual returns). Nawasaidia wateja kuandaa nyaraka muhimu, kujaza fomu kwa usahihi, na kufuatilia mchakato mzima hadi kukamilika. Huduma hii inalenga kuwaondolea changamoto za kiutaratibu, kuokoa muda wao, na kuhakikisha wanakidhi matakwa ya kisheria na kibiashara

Sign In

Register

Reset Password

Please enter your username or email address, you will receive a link to create a new password via email.