Nahitaji mtu wa kufua na kufanya usafi wa nyumba
January 12, 2026
12pm - 4pm
Nahitaji mtu wa kufua na kufanya usafi wa nyumba location magomeni. Vyumba viwili na nguo Tenga Moja budget elfu 20000
Offers
Naweza kufanya hiyo kazi
Lets do
Nafua na kuzipiga pasi nguo, kupiga deki vyumba vyote viwili na kuweka vitu kwenye mpangilio