Accountant and Tax Consultant
7-Day Notice
Full Warranty
Hello
Tunatoa huduma zifuatazo:
1. Kufanya makadirio ya Kodi za TRA
2. Kufungua kampuni na aina zote za Biashara
3. Tuna file Return za TRA
4. Tuna andaa Business Plan
5, Maombi ya Leseni
6, Tunafanya maombi ya Tenda za aina zote
7. Tunatoa ushauri kuhusu issue za Kodi
8. Tunatoa ushauri kuhusu biashara na uwekezaji
Karibuni Sana