Kusaidiwa usimamizi wa kujenga nyumba
April 16, 2025
Any Time
Offers
tufanye kazi kwa 500k kwenye nyumba yenye thamani ya 50 million tunauzoefu wa kutosha
Tuna uzoefu wa miaka 10 (kumi) wa kisimamia ujenzi wa nyumba za kupangisha, frame za biashara, nyumba za kuishi za chini na za ghorofa, tuna mafundi wenye uzoefu na kazi na designers wazuri wa muonekano wa ndani wa nyumba. Tuna hakikisha ujenzi unaisha kwa wakati na kwa ubora wa hali ya juu kadri ya bajeti yako inavyoruhusu. Pia tunatoa ushauri wa maswala ya majengo na ujenzi kwa ujumla. Tutafute kwa namba 0629653899