Jinsi ya Kupost Huduma Yako kwa Ufanisi kwenye WINGA
Je, unataka kuanza kupata mapato kwa kutoa huduma zako kwenye WINGA? Hapa kuna mwongozo wa haraka wa kupost huduma yako.
Hatua ya 1: Nenda kwenye “List a Service” (Go to “List a Service”)
Kwenda kwenye List a Service na jaza maelezo muhimu ya huduma yako.
Hatua ya 2: Jaza Jina la Huduma (Fill in the Service Title)
Taja huduma yako kwa ufasaha na maneno ya kutafuta.
Mfano:
“I Will Write a Professional CV Tailored to Your Career Goals”
Hatua ya 3: Chagua Kategoria (Choose a Category)
Chagua kategoria inayofaa, kama Writing and Translation.
Hatua ya 4: Weka Bei (Set Your Price)
Hapa weka bei ya jumla ambayo ni basic minimum price ya huduma yako.
Pia winga inakupa nafasi ya kuweka package za huduma (price tier) mfano nenda kweny tier tengeneza package tatu za huduma yako … mfano Anza na 1. (title) Basic (price)Tsh 10,000 – (description)Simple CV layout , then bonyeza add item ili uandike package nyingne
2. (title)Standard (price) Tsh 20,000 – (description)Customized CV with industry-specific content, then bonyeza add item
3. (title)Premium (price)Tsh 30,000 – (description)Executive-level CV with LinkedIn optimization and cover letter
Hatua ya 5: Pakia Picha ya Huduma (Upload a Service Image)
Pakia picha inayohusiana na huduma yako.
Hatua ya 6: Chagua wa huduma kukamilika (Choose Delivery Time)
Taja muda wa utoaji, kama up to 24 hours, 2-3 days, au 4-7 days.
Hatua ya 7: Chagua Chaguzi za Marekebisho (Select Revision Options)
Chagua idadi ya marekebisho unayotoa.
Mfano:
- 1 revision
- 2 revisions
- Unlimited revisions
Hatua ya 8: Chagua Upatikanaji Wako (Set Your Availability)
Weka upatikanaji wako kwa wateja.
Hatua ya 9: Chagua Chaguo la Dhamana (Choose Warranty Option)
Chagua ikiwa utatoa dhamana kwa huduma yako.
Hatua ya 10: Andika Maelezo ya Huduma (Write a Service Description)
Elezea huduma yako na faida zake.
Mfano:
“I will craft a professional CV that highlights your skills and achievements, tailored specifically to your career goals. Whether you’re applying for an entry-level job or looking to secure an executive position, I create CVs that make you stand out.”
Hatua ya 11: Chapisha Huduma Yako (Publish Your Service)
Baada ya kuangalia tena, bonyeza Publish na huduma yako itakuwa hai.
Mfano wa Huduma ya Uandishi wa CV:
- Basic: Tsh 10,000 – Simple CV layout (3-5 business days, 1 revision)
- Standard: Tsh 20,000 – Customized CV with industry-specific content (2-3 business days, 2 revisions)
- Premium: Tsh 30,000 – Executive-level CV with LinkedIn optimization and cover letter (24 hours, unlimited revisions)
Picha ya Huduma: Picha ya muundo wa resume mzuri
Upatikanaji: 1 day notice
Dhamana: Full warranty
Maelezo: “I will craft a professional CV that highlights your skills and achievements…”
Vidokezo vya Mafanikio (Final Tips for Success):
- Jibu haraka kwa wateja na toa kazi ya ubora.
- Tumia lugha ya kuvutia kwa maelezo yako.
- Weka bei yako kwa ushindani lakini iakisi thamani unayoleta.
Wakati wa kuanza! Bonyeza hapa ku List a Service
https://wingatz.com/submit-listing/details
Comments